Noble Quran » Swahili » Sorah Al-Fajr ( The Dawn )
Choose the reader
Swahili
Sorah Al-Fajr ( The Dawn ) - Verses Number 30
أَلَمْ تَرَ كَيْفَ فَعَلَ رَبُّكَ بِعَادٍ ( 6 )  
 
Kwani hukuona jinsi Mola wako Mlezi alivyo wafanya kina A'di?
وَثَمُودَ الَّذِينَ جَابُوا الصَّخْرَ بِالْوَادِ ( 9 )  
 
Na Thamudi walio chonga majabali huko bondeni?
فَأَمَّا الْإِنسَانُ إِذَا مَا ابْتَلَاهُ رَبُّهُ فَأَكْرَمَهُ وَنَعَّمَهُ فَيَقُولُ رَبِّي أَكْرَمَنِ ( 15 )  
 
Ama mtu anapo jaribiwa na Mola wake Mlezi, akamkirimu na akamneemesha, husema: Mola wangu Mlezi amenikirimu!
وَأَمَّا إِذَا مَا ابْتَلَاهُ فَقَدَرَ عَلَيْهِ رِزْقَهُ فَيَقُولُ رَبِّي أَهَانَنِ ( 16 )  
 
Na ama anapo mjaribu akampunguzia riziki yake, husema: Mola wangu Mlezi amenitia unyonge!
كَلَّا إِذَا دُكَّتِ الْأَرْضُ دَكًّا دَكًّا ( 21 )  
 
Sivyo hivyo! Itakapo vunjwa ardhi vipande vipande,
وَجِيءَ يَوْمَئِذٍ بِجَهَنَّمَ ۚ يَوْمَئِذٍ يَتَذَكَّرُ الْإِنسَانُ وَأَنَّىٰ لَهُ الذِّكْرَىٰ ( 23 )  
 
Na ikaletwa Jahannamu siku hiyo, siku hiyo mtu atakumbuka! Lakini kukumbuka huko kutamfaa nini?
يَقُولُ يَا لَيْتَنِي قَدَّمْتُ لِحَيَاتِي ( 24 )  
 
Atasema: Laiti ningeli jitangulizia kwa uhai wangu!
فَيَوْمَئِذٍ لَّا يُعَذِّبُ عَذَابَهُ أَحَدٌ ( 25 )  
 
Basi siku hiyo hataadhibu yeyote namna ya kuadhibu kwake.
Random Books
- Wanawake katika Uislamu Ukilinganisha na Wanawake katika Mafundisho ya Kiyahudi-Kikristo-Source : http://www.islamhouse.com/p/191551 
- MASWALI 60 KWA WAKRISTOMASWALI 60 KWA WAKRISTO.Source : http://www.islamhouse.com/p/371266 
- UJUMBE WA UISLAMU KWA ULIMWENGU MZIMA-Source : http://www.islamhouse.com/p/385737 
- Dini Ya Kweli Ya Mwenyezi MunguYaliyomo: • Dini Ya Kweli Ya Mwenyezi Mungu Ni Ipi? • Jina La Dini • Mwenyezi Mungu Na Uumbaji • Ujumbe Wa Dini Za Uwongo • Dini Ya Mwenyezi Mungu Ni Ya Ulimwengu Mzima • Kumtambua Mwenyezi Mungu. • Dalili Za Mwenyezi Mungu. • HitimishoSource : http://www.islamhouse.com/p/161314 
- HUJJA THABITI HUKMU YA MWENYE KUTAKA KUOKOLEWA NA ASIYEKUWA M'NGU AU AKASADIKI WAGANGA NA WAPIGA BAO KIMETUNGWA NA MWANACHUONI MjUZI MTUKUFU-Source : http://www.islamhouse.com/p/339838 















