Noble Quran » Swahili » Sorah Al-Qiyamah ( The Resurrection )
Choose the reader
Swahili
Sorah Al-Qiyamah ( The Resurrection ) - Verses Number 40
أَيَحْسَبُ الْإِنسَانُ أَلَّن نَّجْمَعَ عِظَامَهُ ( 3 )  
 
Anadhani mtu kuwa Sisi hatutaikusanya mifupa yake?
بَلَىٰ قَادِرِينَ عَلَىٰ أَن نُّسَوِّيَ بَنَانَهُ ( 4 )  
 
Kwani! Sisi tunaweza hata kuziweka sawa sawa ncha za vidole vyake!
بَلْ يُرِيدُ الْإِنسَانُ لِيَفْجُرَ أَمَامَهُ ( 5 )  
 
Lakini mtu anataka tu kuendelea na maasi kwa siku zilioko mbele yake.
يَقُولُ الْإِنسَانُ يَوْمَئِذٍ أَيْنَ الْمَفَرُّ ( 10 )  
 
Siku hiyo mtu atasema: Yako wapi makimbilio?
يُنَبَّأُ الْإِنسَانُ يَوْمَئِذٍ بِمَا قَدَّمَ وَأَخَّرَ ( 13 )  
 
Siku hiyo ataambiwa aliyo yatanguliza na aliyo yaakhirisha.
لَا تُحَرِّكْ بِهِ لِسَانَكَ لِتَعْجَلَ بِهِ ( 16 )  
 
Usiutikisie huu wahyi ulimi wako kwa kuufanyia haraka.
إِلَىٰ رَبِّكَ يَوْمَئِذٍ الْمَسَاقُ ( 30 )  
 
Siku hiyo ndiyo kuchungwa kupelekwa kwa Mola wako Mlezi!
ثُمَّ كَانَ عَلَقَةً فَخَلَقَ فَسَوَّىٰ ( 38 )  
 
Kisha akawa kidonge cha damu, tena Mwenyezi Mungu akamuumba na akamtengeneza vilivyo.
Random Books
- Hisn Al-Muslim (Kinga Ya Muislamu katika Nyiradi Za Qur-ani Na Hadithi Za Mtume)-Formation : Said Ali ibn Wahf AI-Qahtaani Source : http://www.islamhouse.com/p/1590 
- Je, IMANI YA UTATU Ni ya Ufunuo Mtakatifu?Je, IMANI YA UTATU Ni ya Ufunuo Mtakatifu?.Source : http://www.islamhouse.com/p/371262 
- Je, IMANI YA UTATU Ni ya Ufunuo Mtakatifu?Je, IMANI YA UTATU Ni ya Ufunuo Mtakatifu?.Source : http://www.islamhouse.com/p/371262 
- MAHARAMISHO YALIYODHARAULIWA NA WAISLAMU WENGI AMBAYO Nl WAJIBU KUJIHADHARI NAYO-From issues : لجنة الدعوة والتعليم بالمدينة المنورة Source : http://www.islamhouse.com/p/339836 
- Muongozo Wa Kuufahamu Uislamu Kwa Ufupi Na Kwa Kutumia Vielelezo Vya Picha-Source : http://www.islamhouse.com/p/172713 















